Higher Education Students' Loans Board

  • Dar es Salaam, Tanzania. P.O.Box 76068

  • General call +255 22 286 4643

  • Monday - Friday8:00am - 5:00pm

News & Events

20
December 2024

HESLB MARATHON YAZINDULIWA KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 20

- Kufanyika Dar Feb 15, 2025

- ⁠Rais SMZ kuongoza

Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Dkt. Bill Kiwia leo  (Ijumaa, Disemba 20, 2024) amezindua mbio za hisani  kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwa HESLB zitakazofanyika  Februari 15, 2025 katika Viwanja vya Farasi (G ........

Read More
16
December 2024

PROF. MKENDA AZINDUA 'HESLB APP'

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, leo (Jumatatu, Disemba 16, 2024) amezindua mfumo wa huduma kidigitali unaofahamika kwa jina la ‘HESLB APP’ ili kurahisisha huduma za utoaji na urejeshaji wa mikopo ya wanafunzi inayotolewa na serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya ........

Read More
4
December 2024

OPENING OF APPLICATION WINDOW FOR QUALIFYING SAMIA SCHOLARSHIP APPLICANTS FOR MASTER DEGREE PROGRAMMES AT NM-AIST

This is to inform all qualifying Samia Scholarship candidates for Master Degree Programmes at the Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) that special window for online application will be open for 14 days from December 06th to 20 ........

Read More
3
December 2024

TAARIFA YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WALIOKATA RUFAA

WANAFUNZI 4,676 WAPANGIWA MIKOPO YA TZS 15.5 BILIONI KWA RUFAA

Upangaji wa mikopo kwa mwaka 2024/2025 wafikia mwisho

Wanafunzi 4,676 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 15.5 bilioni baada ya rufaa zao kufaniki ........

Read More
26
November 2024

HELSB ZAMBIA VISITS HESLB

The Tanzania’s Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) is hosting a team of six officials from Zambia’s Higher Education Loans and Scholarships Board (HELSB) for a five-day study tour.

In his welcoming note on Monday, November 25, 2024 at HESLB Offices in Dar es s ........

Read More